kigogo1ivi
JF-Expert Member
- Jan 15, 2013
- 539
- 340
Nashangaa sikuizi sioni tena zile sms zenu "mara tupo mtaaani kwako tunakupa masaa mawili uwe umelipa kabla hatujakukamata" na zile za kunitangaza kwenye vyombo vya habari eti mimi ni mdaiwa sugu lkn kuna ka sms kalikuwa kananikera kweli eti mnanitumia RB No. kisha mnaniambia natafutwa kitengo husika. Sasa hizi msg sizioni tena sijui ndio wamenisamehe kale ka 120,000/= au wananivutia kasi bado wapo mtaani kwangu maana toka waniambie wapo mtaani kwangu ni mwezi na zaidi na sijawaona