Ahsanteni wanajamiii

Ahsanteni wanajamiii

GUTWE

Senior Member
Joined
Jul 4, 2013
Posts
193
Reaction score
24
Nimekua nikisoma sana comment zenu kiukweli zimenisaidia sana ktk kunifungua akili yangu. ahsanten na muendelee hivyo hivyo kutuelimisha cc vijana tilioko vijijini.
 
Mbona bado unaandika ki-fb fb.Umeathirika kweli na uanajamii?Nyumbulika mkuu,ahsante kushukuru.
 
angalizo; na wewe unaruhusiwaa kutoa mawazo yakoo sio kila siku unasoma ya wenzio..! Ahsante kwa kushukuruu!
 
Back
Top Bottom