G GUTWE Senior Member Joined Jul 4, 2013 Posts 193 Reaction score 24 Sep 1, 2013 #1 Nimekua nikisoma sana comment zenu kiukweli zimenisaidia sana ktk kunifungua akili yangu. ahsanten na muendelee hivyo hivyo kutuelimisha cc vijana tilioko vijijini.
Nimekua nikisoma sana comment zenu kiukweli zimenisaidia sana ktk kunifungua akili yangu. ahsanten na muendelee hivyo hivyo kutuelimisha cc vijana tilioko vijijini.
Ze Heby JF-Expert Member Joined Jun 22, 2011 Posts 5,636 Reaction score 6,178 Sep 1, 2013 #2 Mbona bado unaandika ki-fb fb.Umeathirika kweli na uanajamii?Nyumbulika mkuu,ahsante kushukuru.
Darius JF-Expert Member Joined Jun 16, 2013 Posts 1,951 Reaction score 320 Sep 1, 2013 #3 angalizo; na wewe unaruhusiwaa kutoa mawazo yakoo sio kila siku unasoma ya wenzio..! Ahsante kwa kushukuruu!
angalizo; na wewe unaruhusiwaa kutoa mawazo yakoo sio kila siku unasoma ya wenzio..! Ahsante kwa kushukuruu!
G GUTWE Senior Member Joined Jul 4, 2013 Posts 193 Reaction score 24 Sep 1, 2013 Thread starter #4 Ze Heby said: Mbona bado unaandika ki-fb fb.Umeathirika kweli na uanajamii?Nyumbulika mkuu,ahsante kushukuru. Click to expand... mbona mimi sijawahi kuitumia hiyo fb unayoisema mkuu.
Ze Heby said: Mbona bado unaandika ki-fb fb.Umeathirika kweli na uanajamii?Nyumbulika mkuu,ahsante kushukuru. Click to expand... mbona mimi sijawahi kuitumia hiyo fb unayoisema mkuu.