njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,081
- 8,671
Oh asante sana aisee , I hope kijana wetu Dejan anatumia hii Vlach magic ya huko nchini kwao unaambiwa ni uchawi hatari hata voodoo ya wa benin na wa haiti inasubiri
Sasa ajaribu kinyago yoyote kumloga kama kombora halijamrudia apoooze mwili kabisa
Hatari sana unaambiwa the story goes back eznzi za ma vampire huko VLAD THE IMPALER, DRACULA. na kati ya Romania, Serbia