Ahukumiwa kifungo cha maisha kwa kumbaka mzee wa miaka 94 na mtoto wa miaka 2

Ahukumiwa kifungo cha maisha kwa kumbaka mzee wa miaka 94 na mtoto wa miaka 2

real G

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2013
Posts
5,227
Reaction score
5,299
Accused.jpg


Kijana mwenye miaka 33 amehukumiwa kifungo cha maisha kwa kumuingilia mtoto wa miaka 2

Kijana huyo aitwaye Samweli Thiong'o amehukumiwa kifungo cha miaka 94 kwa kumbaka mzee wa miaka 94

Akitoa hukumu hiyo, hakimu mkazi wa mahakama ya Kangema alisema mshukiwa huyo alipaswa kuwekwa mbali na jamii

Thiong'o alitenda kosa la kwanza 15/8/201 na kosa la 11/10/2016 kijiji cha Gacharage jimbo la Mathioya Kaunti ya Muranga

====================
A 33-year-old man has been sentenced to life imprisonment for defiling a two-year-old minor.

Samuel Thiong’o was also handed 94 years in jail for a second offence of raping a 94-year-old woman.

In his ruling, Kangema Senior Resident Magistrate Dennis Muigai Kivuti termed the accused as a serial rapist who should be kept away from the society.
Thiong’o committed the first offence on August 15 last year and the second offence on October 11, 2016 at Gacharage-ini village in Mathioya Constituency, Muranga County.

The magistrate said the sentence should serve as a deterrent to stop such incidents from happening again.
 
Aisee... hivi dushe linasimamaje kwa katoto ka miaka miwili???

Miaka 94 hivi Kei si inakuwa imefubaa kabisa??

Huyu lazima atakuwa mchawi au kichaa
 
Aisee... hivi dushe linasimamaje kwa katoto ka miaka miwili???

Miaka 94 hivi Kei si inakuwa imefubaa kabisa??

Huyu lazima atakuwa mchawi au kichaa
Na babu kama wewe dushe huwa linasimamaje ukiwa na Sky au ule mchepuko wako mwingine wa JF?[emoji53][emoji53][emoji53]
 
Aisee... hivi dushe linasimamaje kwa katoto ka miaka miwili???

Miaka 94 hivi Kei si inakuwa imefubaa kabisa??

Huyu lazima atakuwa mchawi au kichaa
atakuwa ana matatizo ya akili or devil at work..
 
huyu naye kwani amekosa lugha ya kupata mwanamke...mzee wa 94? duh
 
Back
Top Bottom