Azizi Mussa
JF-Expert Member
- May 9, 2012
- 9,186
- 7,492
Mzee Mwinyi inaonekana ana ubinadamu wa hali ya juu ila watu wanatumia ubinadamu huo kumdhulumu.hebu vuta picha anampa mtu tenda ya hela nyingi halafu anamwamini wala hawaandikishani na hamfuatilii nyuma lakini jamaa badala ashukuru kwa wema huo anamdhulumu mzee wa watu.Kazi sana kuna wakati binadamu tunasahau nafasi tunazopewa na kuaminiwa!tunamjua Mzee Mwinyi kwa hekina na ubinadamu,asinegweza kumsingizia kabisa huyo kijana!acha ale matunda ya kutokuwa mwaminifu!nasi tujifunze kula na wanaotuamini!
suala ni ikiwa wanadamu wana tabia ya kutosheka?Huyu mzee namheshimu sana ila nilisikitika kuona kwamba nae yumo kwenye list ya vigogo waliopatiwa viwanja na manispaa ya Temeke huku wananchi wengi ambao hawana kbs wakikosa na fedha zao kuliwa! Ingekuwa busara zaidi hawa wazee wakakubali kwamba tayari wako better off kuliko watu wengine kwenye suala la mali hivyo kuacha tamaa za kujilimbikizia!
umeona eee!Dah, jamaa kaaribu sana yaani kuwa na mahusiano mazuri na mzee Ruksa ni neema kubwa sana ambayo kila mtu anatamani.