Technophilic Pool
JF-Expert Member
- Jan 18, 2024
- 2,597
- 3,965
Amaaah😂😂Sema unatafuta 'akili' ya bure.
we jamaa una mdomo sana😂😂Sema unatafuta 'akili' ya bure.
ni app hiiPhind
Phind
kwene ois ipo mkuuChatgpt 3 ni bure, itafute kwenye app store ya hao wanyonyaji.
hii kwa iphone haipo mkuuuChatgpt 3 ni bure, itafute kwenye app store ya hao wanyonyaji.
duu mkuu hii ni app kwel?Phind
sasa mkuu hiyo hela ya kulipia mi naitoa wap??Mkuu kwanini usilipie tu maana zipo hadi za $6.7 kwa mwezi
hii nayo si kitoto ingawa app kwene ios hamnaUwakika phind.com
Nyie daah had lini sasa mkuuNilisikia Apple na Open AI wataingia makubaliano ili Open AI itumike kwenye Iphone hivyo vuta subira
why hela?why bure
kwa sababu vinagharamiwa hadi kukufikiawhy hela?
Watasema si una iPhone.sasa mkuu hiyo hela ya kulipia mi naitoa wap??
Na plus nilipie naingiza sh ngap kupitia hyo CHAT GPT