Alexido jz instagram
JF-Expert Member
- May 5, 2026
- 4,686
- 10,018
Full AI inapoteza some credit boss kwa KAZI ambazo nisha ziona, nilibaini changamoto nyingi sasa kawa sasa wengi hatupendi mashabiki watambue video ni AI boss ndio mana tuna wachezesha ili waumize kichwaUkichagua AI hakuna hizo gharama za video shooting.
Bali itatakiwa uende studio maalum kwa photo shoot.
Ili mwisho wa siku mtu anayekufanyia kazi ya videoapate kitu kama hiki.
View attachment 3697493
Ukiangalia hii picha, mhusika kabadili nguo mara nne.
Kinachobakia hapo, ni AI inamaliza kila kitu:
Hadi video yote inakamilika.
- Location: AI
- Lips syn: AI
Mkuu mbaga ufukuze client wako kisa 2min. clip??Na asipoelewa hy comment yangu bc hatoweza kuelewa tena kamwe 😂
Na hii kazi huwez kukwepa editing 😂
Mana hakuna Ai itakayokupa video ya dkk Ht 5 ndani ya video moja, gemini nayotumia Inatoa video ya 10 sec so inabidi uifanyie editing kupata dkk unazotaka
Kuna mtu alinipa kazi ya video ya dkk mbili afu akaitaka ndani ya siku moja, nikamwambia Akafie mbele huko.
Nitumie video moja uliowah kuitengeneza niitumie kama reference ili nielewe vzr h comment yakoMkuu mbaga ufukuze client wako kisa 2min. clip??
Mimi na u underground wangu nipe app ina credits za kutosha natoa video ya 10 minutes kwa siku 2.Siku moja yakuandaa elements/reference/image bank then siku ya pili natumia nusu siku tu natoa video safi
Hiyo 2 min. Siku moja na deliver.
Mi naona client hakuja na hela nzuri ndo mana ulimfurusha😃🏃♂️➡️
Maisha ya binadamuyeyote mtu mxima ni reality show yenye mafekeche mengi ndo mana privacy ni haki ya kila binadamu lkn as long as mimi sio muhalifu they r warmly welcomed in my private life.Let them enjoy me😃.Iam enjoyable😃😃Ah ila kama huna mambo mengi duniani huko, bc watakuacha wnyw 😂
Kumbe prida ni editor pia?Dada aliniambia anafanya editing pia
Afu maelezo yangu Yanaeleweka 100% so hakuna kusaka fursa hapo
Duh jaman, ww c Nshakuambia kila kitu ama?Kuridhika ntakua muongo ila kama inabidi kulipa ndo nisaidiwe kujua apps za gharama nafuu sitaweza simply sababu sitaki ku reveal my Identity🙏🙏.
Poa kiongoziSoma comment yangu #88 ya juu ya hi comment yako, nmemjibu
Naipataje hiyo appDah jaman mm nmeshakuambia kila kitu n ww tuu umeamua kukaza Kichwa.
App yenye credit nyingi kwa nayoijua n gemini wanakupa 1000 credit, then ukiwa unaanza kuna ofa unaanza na 5k then unakuja 12500 then unakuja kwenye pesa yao ya siku zote ambayo n 50k
Ipo play store, au unaweza kutumia kwenye web kwa kuandika Google flowNaipataje hiyo app
Wengine hutumia open-source AI models na kuzi-run kwenye computer zao au kwenye cloud services badala ya kutegemea AI platforms zinazolipisha kwa kila generation.NI eitha real life production au AI realistic .Ila kwani hata AI videos si ni 3D animation au?
Anyway.
Kwani mdogo eti wale wanaotengenwzaga movie serious wanatumiaga app gani?,Sidhani kama nao wanatumia hizi app za credits chache za gharama
Hata mm nikiwa na-scroll nikakutana na AI video huwa naipita kama sioni.Ushauri..
AI generated videos hazina human touch na ni rahisi kupuuziwa..
Hiyo 6m ni kubwa mno, kama ungeweza Unge fanya real production,, trust me ukienda kusaka director ambaye yuko hungry ukawa unampa laki kwa siku.. Then ukagharamia location hauta tumia hela nyingi na itauza sana.
Sijui kwanini but I find AI generated stuff hectic..
Sijajua maudhui ya hiyo documentary ila kama ni ya kibiashara tumia AI kwa uchache sana. Itakusaidia kwenye sales.
Anyways, hongera kwa kujifungua, Mwambie uncle Nakuja kumwona soon(jokes).
Best wishes
Its true that kwa sasa video story za ai zimeanza kupuuzwa mtu akisha scrow to kuona ni video ya ai ana move.Ushauri..
AI generated videos hazina human touch na ni rahisi kupuuziwa..
Hiyo 6m ni kubwa mno, kama ungeweza Unge fanya real production,, trust me ukienda kusaka director ambaye yuko hungry ukawa unampa laki kwa siku.. Then ukagharamia location hauta tumia hela nyingi na itauza sana.
Sijui kwanini but I find AI generated stuff hectic..
Sijajua maudhui ya hiyo documentary ila kama ni ya kibiashara tumia AI kwa uchache sana. Itakusaidia kwenye sales.
Anyways, hongera kwa kujifungua, Mwambie uncle Nakuja kumwona soon(jokes).
Best wishes
SOrry mkuu kama swali langu litakua la kijinga.Wengine hutumia open-source AI models na kuzi-run kwenye computer zao au kwenye cloud services badala ya kutegemea AI platforms zinazolipisha kwa kila generation.