Master Legendary
JF-Expert Member
- Apr 28, 2013
- 576
- 876
Hii ni aibu kwa nchi,katika karne ya 21 watu wanakwama kusafiri kwasababu ya Umeme?Wameshindwa kuweka Solar au Jenereta kituoni?
Nakazia,Zamani vituo vilikuwa na backup battery, incase umeme ukikatika then battery zinawasha taa na vifaa vyao...
Ila yote haya yanatokea Afrika kwa sababu Waafrika hawana akili...