njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,081
- 8,671
- Thread starter
-
- #21
wivu wa kiume ukoje dada yangu? ambia zeruzeru promo za siku hizi ni kutumia spika za dawa ya mende na kupanda juu ya malorry juani ukitokwa na jasho kama ngozi yako ina ulemavu omba usaidiwe usije ukayeyuka juani kama konokonoDogo unateseka sana. Punguza wivu wa kike.
hapana issue siyo kujaza uwanja issue ni CEO wa team na msemaji sijui chawa ,mropokaji wa team kutumia pics za mwaka jana kudanganya, shame on themUshabiki wa Yanga na Simba unawatesa sana mashabiki wa timu hizo.Baada ya kutoka suluhu sasa wanashindana ni mashabiki wa timu gani walijaza uwanja
sasa unaweza kufuta huu upumbavu wakoTumia akili, chuki zisikufanye uonekane mbumbumbu alicho andika mashabiki wa Yanga walikua zaidi ya theluthi mbili Kwaiyo mashabiki wa Yanga walifikia lengo la Manara.
Kwanza ata picha hazi fanani, picha ni tofauti na angle za uchukuaji ni tofauti na mg'ao wa picha ni tofauti Kwa ujumla ni picha ambazo hazi fanani.
Kujipa mizigo tu ambayo haina maanaWe inakupunguzia nn kwenye maisha ya kila siku?,vitu vingine ni kuviacha tu vipite sio kila kitu kulalamika
Tumia huu mda kufanya mambo yako vitu vingine unajitesa bure havina umuhimu wowotewivu wa kiume ukoje dada yangu? ambia zeruzeru promo za siku hizi ni kutumia spika za dawa ya mende na kupanda juu ya malorry juani ukitokwa na jasho kama ngozi yako ina ulemavu omba usaidiwe usije ukayeyuka juani kama konokono
Haya tuoneshe hao zaidi ya theluthi mbili kwenye hii picha halisiTumia akili, chuki zisikufanye uonekane mbumbumbu alicho andika mashabiki wa Yanga walikua zaidi ya theluthi mbili Kwaiyo mashabiki wa Yanga walifikia lengo la Manara.
Kwanza ata picha hazi fanani, picha ni tofauti na angle za uchukuaji ni tofauti na mg'ao wa picha ni tofauti Kwa ujumla ni picha ambazo hazi fanani.