CarloJesus
JF-Expert Member
- Nov 5, 2019
- 431
- 837
Salaam wakuu
Miaka ya nyuma kidogo,baada ya kuacha kazi katika mazingira ambayo sikujiandaa vema,niliyumba sana,kiasi ilibidi nirudishe mpira kwa kipa...(nilirudi home kwa mzee)
Mzee Ni mkulima na mtu wa projects nyingi tu Kama nyuki na ufugaji
Akaniunganisha kwenye project ya Mpunga,ilikua kipindi Cha mavuno
Huko shamba tulikua na camp lakini senta Kuna nyumba kubwa tuu ambayo huwa tunalala na kuhifadhi mavuno kabla ya kuyaleta mjini,Ni Kama godown lakini pia kuna mazingira mazuri ya kulala na kuishi
Sasa bana huko shamba kwa sababu Sina uzoefu,mzee aliniweka chini ya jamaa mmoja hivi(huwa anamsaidia mzee kazi zake,lakini pia jamaa Ni dereva wa gari moja ya home inayohusika na hizi mambo ya shamba),huyu jamaa hajasoma...alikua ananiburuza Sana na kunidharau kiasi nkajiona Kama mzee amefanya makusudi kunidhalilisha
Jamaa alikua Hali chakula chetu Cha shamba,na Kuna muda anatoweka na gari anaenda kubeba gunia za watu,bado hatikumbuki hata shing'mia...zaidi tukiwa shamba,jamaa anawahadithia mademu vibarua kuwa mi si lolote si chochote
Siku moja jioni tumerudi,nkaonana na jamaa yangu wa siku nyingi Sana,stori hapa na hapa jamaa kasema twende tukapige gambe,nkaona sio issue,jamaa alikua na buku 10 ,nkamwmbia itatutosha ?jamaa kasema nisiwe na wasiwasi...hapa na hapa tukatokea kwenye viringe vya konyagi mwitu(gongo)
Tulitandika gongo Sana siku hiyo,mpaka saa nane sijarudi pale tunapoishi...merudi saa Tisa kasoro,nkaanza kumpa shit jamaa,nkamtukana Sana...hatukukaa Sana kumekucha,kumi na mbili asubuhi,jamaa kawasha gari tukiamshe shamba!Mimi muda huo gongo limenitepesha,halafu bado mwili hauko fresh,nna hangover ya ajabu
Nkamwita jamaa pembeni nkamwomba samahani asimtonye mshua,nkamwambia nibaki nipumzike ,jamaa kakubali
Huku nyuma sijui shetani gani kanipitia,nkaenda Tena kwenye kile kiringe,nkaamsha na chenchi alioniachia mshikaji,then nkarudi gheto
Mule getho kulikua na gunia Kama miambili hamsini 250 hivi za Mpunga,mi nkajua za mzee labda watu wamemkusanyia ...kumbe bana mtu aliomba kuziweka
Mimi na gongo [emoji3],tukasema mbona nateseka buree na mzigo umo ndani Tena jamaa wako shamba!
Basi kutafuta mteja huyu hapa,gunia zikaanza kusombwa kwa pikipiki,jirani pale kuna katoto kalishtukia,kumbe kanamfahamu mwenye Mpunga,asee...Niko nimebana sehemu,nkasikia bodaboda aliebeba gunia anapigiwa yowe ,nataka kuanza mbio...Mara watu hao wakaunga na Mimi,duh,[emoji26][emoji26]
Bahati huyu mwenye Mpunga ananifahamu kuwa mtoto wa mzee,akanikingia kifua akasema huyu itakua Ni shetani tuu na pombe ndo vilimtuma haya...nkabebwa nkafungiwa stoo kwanza....Mara yule jamaa msaidizi wa kazi za mzee huyu hapa,asee jamaa akaamuru nifungwe kamba miguu na mikono,Kisha nkatupiwa kwenye bodi garini huko Kama mbuzi,kusema kweli nilipigwa Sana na sungu sungu,lakini maumivu makubwa ilikua majuto ya nililofanya,pombe ilikata
Nkawaza mzee atajisikiaje...vipi Jamii ya watu wanaoniamini...ilipocika jioni ,yule mwenye Mpunga aliamuru niachiliwe tuu yaishe,tayari nilikua Nimesukuma gunia nne na pesa mfukoni,mzee kapiga simu nirudi nyumbani,nkapandishwa bajaji,nilipofika mjini,sikua na amani
..nilipotelea mbali,ntakuja kueleza siku moja...baada ya kuhangaika Sana,nikapata taarifa mzee ananitafuta Sana na ananisihi nirudi na yeye Anajua sio akili yangu,nkagoma kurudi...Mwisho was siku mzee alinitrace mpaka akanipata...niliona huruma Sana siku hiyo...mzee alikua mwenye kusononeka kiasi chozi lilimtoka...tulirudi home .
.nkwa mtu was aibu Sana kiasi sikuweza kutoka home au kwenda kule shamba Tena....lakini leo Ni historia na namove one na maisha kama kawa
Tukio hili limekua benchmark yangu muhimu Sana ya kupambana na lolote mbele yangu hata Kama Ni la gharama ya kuniabisha...
Je Wewe unakumbuka lipi?
Sent using Jamii Forums mobile app