DiasporaUSA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 23,382
- 29,639
Njema
Duuh niitoe wapi mimi, unataka uniletee zawadi ya mwaka mpyaNjema
Una iphone ?
Ndiwo
Oooh, naomba unipe nafasi ya kuchagua [emoji3][emoji3]Ndiwo
narudi bongo mwezi february
Kumbuka kwamba haya ya kuchungwa yanamkuta akiwa tayari ashadumbukia katika hiyo weakness kitaamboo sio kwamba aliamua kuwa hivyo ili awe proud of, sijui kama umenielewa mkuu!Akijisikia proud anavyochungwa kwa ujinga anaoufanya atakua ni taahira kichwani kwa 100%.
Sent using Jamii Forums mobile app
Chagua tu mkuu
Mimi niliwahi kuomba likizo isiyo na Malipo Ofisini miaka ya nyuma sana na kujitosa kuwania Ubunge baada ya Matapeli kadhaa kunifata na kujifanya Eti watu wengi wameomba niwanie
Nikaangukia Pua kwenye hatua za mwanzo kabisa
Kimbembe na aibu haikuwa Mtaani bali ofisin ambako Niliaga kwa Mbwembe sana kuwa tukutane Karimjee kwenye Viwanja vya Bunge
You are very right bro,serikali ikipoteza muelekeo everything falls apart.Tunaishi katika traditional society.
Ukitetea anything feminine unaonekana kama unaleta umagharibi au unatukana masculinity au una ajenda za kusambaza tabia chafu.
Tunaishi katika sadist society ambayo inafurahia shida za watu ili wajione superior. Tunaishi katika political era ambayo kudhalilisha watu ni part of life. Tunaishi pasipo kujali wala kutumia akili.
Hizo media zenyewe zimetekwa, hawana guts za kuonesha chochote ambacho kitaleta negative reaction ya jamii.
mimi pia bado sina influence ya kushindana na system iliyopo. I can't challenge it katika large scope so kwa nini nianzishe vita ambayo siwezi kushinda.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hongera sn kwa namna unavoihandle situation ya mzee wako. Najua fedheha huwa kali zaidi pale inapokuja toka kwa mtu ambaye unatarajia akuhuheshimishe.sifanani nae hata kidogo, sisi wote tumefanana na mama yani ukimuona mama umetuona sisi.. Likija swala la watoto huwa lazima wamuulize mzee hawa ni wanao? jibu lake kubwa ni "sasa ni watoto wa ngedere au" kuonyesha kuwa amechukizwa[emoji3] Mungu ana mpango mkubwa sana anajua kila kifuatacho imagine tungefanana nae
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahsante sana mkuuMkuu hongera sn kwa namna unavoihandle situation ya mzee wako. Najua fedheha huwa kali zaidi pale inapokuja toka kwa mtu ambaye unatarajia akuhuheshimishe.
On the other hand, naweza kuona ni jinsi gani hili jambo limekufanya uwe wise hata kwa mambo mengine.
Trust me,hii inakuandaa vema kuwa mke na mama bora kwa familia yako soon. Kila jambo huja kwa sababu,who knows...labda hiyo imekuwa ni njia ya kukuandaa na kukuimarisha, keep it up princess ariana
Sent using Jamii Forums mobile app
Poa
ndo mana sikai nae meza moja mi nakaa mahala ambazo naweza kumuona , naacha kusherekea namchunga yeye, badala yeye anichunge mimi
maisha yetu ni vise versa[emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Tukio la kuniabisha ambalo sitakisahau ni pale nilipokuwa ninaishi kwa baba mdogo aliachana na mke wake baada ya wiki moja akavuta mwanamke mwingine ndani
Yaani ndani ya wiki moja tu dah
Sent from my iPhone using JamiiForums