Aibu: Gazeti la mwanaspoti ladanganya mchana kweupe

njaakalihatari

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2019
Posts
4,081
Reaction score
8,671
Kama mnafanya hivi baada ya kupewa bahasha za khaki nitawasamehe kidogo mana mnajua asilimia kubwa ya wadanganyika ni vilaza basi poa tu ila kama mwandishi na mhariri wa mwanaspoti ni vilaza wa kiwango hiki basi GOD HAVE MERCY ON YOU
JAMANI AFC LEOPARDS YA CONGO BRAZAVILLE ILIPOCHUKUA KOMBE LA SHIRIKISHO AFRIKA KOCHA ALIKUWA JOSEPH OMOG RAIA WA CAMEROON ALIYEWAHI KUFUNDISHA AZAM NA SIMBA HUYU MWARABU WA YANGA ALIKUWA TECHNICAL DIRECTOR..GET YOUR FACTS RIGHT IDIOTS,IMBECILES WAANDISHI VILAZA MAKANJANJA




WABABE AFRIKA

Hapa Gomes amezidiwa kete kwani mwenzake Nabi amewahi kutwaa ubingwa wa Kombe la Shirikisho Afrika akiwa na AC Leopards ya Congo mwaka 2012.

Lakini hajaishia hapo tu kwani amewahi kuiongoza Al Hilal kutinga robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika mwaka 2015 na amewahi kuiongoza DC Motema Pembe kuingia hatua hiyo katika Kombe la Shirikisho Afrika mwaka 2011.

Kwa upande wa Gomes, mafanikio makubwa kwake katika mashindano ya klabu Afrika yalikuwa ni kuiongoza Coton Sports ya Cameroon kufika nusu fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika mwaka 2014.

Pia msimu wa 2019/2020 aliifikisha Ismaily ya Misri katika hatua ya nusu fainali ya Ligi ya Uarabuni na msimu huu kaiongoza Simba kutinga robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika.
 
Hao waandishi wanafikiri na sisi ni vilaza wanampa sifa za uongo kocha mpya wa utopolo
 
Hao waandishi wanafikiri na sisi ni vilaza wanampa sifa za uongo kocha mpya wa utopolo
yaani inashangaza sana lakini kuna mbali na uwezekano mkubwa wa ushabiki na kula mlungula wa wauza magodoro kuna uwezekano hawajui wanachokifanya usisahau makanjanja yamejaa huko halafu ni cheap labour
 
Povu kama lote yan! Hebu tulia utueleweshe Gomez ndiyo kitu gan, ni mchezaji au mmiliki au ni nini unakielezea hapo mkuu!
 
Nadhan kuna mahali mtoa mada hujaelewa. Ukiwa kwenye timu na ikatwaa ubingwa inahesabika kila mmoja ktk timu ametwaa Ubingwa. Mchezaj anaweza kwenda Word cup na timu yake ikitwaa Ubingwa basi hata kama hakuwah kupata nafas hata ya kukaa benchi kwenye mechi yoyote anavaa medali.

Al hilal aliiongoza, Leopard hakuiongoza bali alikuwepo katika timu.

Mwandishi kaandika Kwa akili ya kiuanahabari ambayo wewe huna.
 
Sporting Director ndiyo kila kitu ...... Kiufupi wewe sasa ndiyo umezidi kumpaisha.
 
Aliyemzidi kete mwenzake ni yule aliyefanya mwenzake huyo afukuzwe kazi kwa kupata matokeo yasiyoridhisha
 
Mwandishi ameelezea mafanikio yake kama kocha ndio maana amekosolewa kocha wa kipindi hicho hakuwa yeye
 
Sporting Director ndiyo kila kitu ...... Kiufupi wewe sasa ndiyo umezidi kumpaisha.
basi utopolo ni kwa nini wamchukue kama kocha na siyo technical director? unataka kusema yeye ndiye aliyewapa hao wacongo kombe la africa na siyo Omog? katika maisha yangu sijawahi kusikia technical director akipewa cv ya kuchukua kombe bali huwa ni makocha..
 
Kwani Sir Alex Ferguson alikuwa ni nani pale Man United?
 
Kwani Sir Alex Ferguson alikuwa ni nani pale Man United?
hahahaha bado unatetea kwamba mwarabu aliwapa kombe ac leopards ya congo brazaville? hiyo ni cv ya Joseph Omog tafuteni jingine maana very soon mwambusi atatangazwa kuwa mkurugenzi wenu wa ufundi usisahau kuja na porojo zako, hao waandishi uchwara waache ujinga eti aliipa ac leopards ubingwa
 
Hapa kilichokuumiza sio suala la Omog, kilichokuuma ni kocha wa Yanga kuonekana ana CV nzuri kuliko Gomes
Haahaha! Mbumbumbu akili zenu tunazijua vizuri
 
Hujajibu swali.
 
Hapa kilichokuumiza sio suala la Omog, kilichokuuma ni kocha wa Yanga kuonekana ana CV nzuri kuliko Gomes
Haahaha! Mbumbumbu akili zenu tunazijua vizuri
wewe unaona ana cv huyo? kufikisha teams robo fainali mara mbili ndiyo mnajivunia na kuiba cv ya joseph omog kuipachika kwake ndo cv,alifukuzishwa kazi na simba huyo ndiyo maana pale jangwani siku hiyo alikuwa anaitajataja simba tu hadi anakumbushwa kwamba kaja kufanya kazi utopolo..Gomez kafika nusu mara mbili ismailia na younde cotton isiyo hata na hela za kueleweka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…