Aibu hii ikikutokea utauweka wapi uso wako?

just an unfortunate incident... laugh it off, then mnaendelea na sherehe
 
mie nikajua jambo la ajabu kumbe hilo..namwambie peleka chumbani mtoto mzuri siku nyingine usirudie
sherehe inaendelea kama kawaida
 

Ningecheka sanaaaaa...
 
Hizo burudani tu za watoto......
Mie mwanangu mdogo kusema mjomba hawezi, anasema "Ntomba"!

Sasa wakija wageni na mjomba wake yupo karibu inakuwa balaa!!
Haaahaaaa, mkuu, huyo mjamba atafutiwe makazi mengine ya muda hadi dogo atakapokomaa ulimi wake! Tangaza curfew haraka mkuu...! Kha dogo matata sana huyo. Mwambie kuna 'jomba' wake mwingine yuko JF anamsalimia!
 

............. Nsingefanya lolote kwani ni wizara ya mambo ya ndani ya nchi nyingine kwangu. Sana sana ningeelewa umuhimu wa kuwa na mpangilio mzuri ndani ya chumba cha mama..........huwezitupa hovyo hizo mambo kiasi cha mtoto kuweza kufikia!! Siku nyingine anawezaleta makubwa zaidi kama mikate ati!
 
labda iwe na ukoko wa uchafu na ijulkane ni ya nan.
 
acha aibu kwa wakati huo haikuwa chupi bali ni kofia ya mtoto ndiyo sababu aliivaa na pia ni tukio la kukumbukwa haliathiri chochote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…