Aibu hii kwa BOT

Sio tu ku-update website bali hata vichwa vya wabongo wengi na utendaji wao havija be updated. Hebe tujiulize tz ni nchi ya kijamaa au ya kibepari?. Mwakumbuka mjengoni ilipelekwa ripoti ya mapato/matumiza ya serikali ya mwaka 2006/2007 badala yake ikawa imeletwa ya 2004? Kama sio microscope ya silaha(mibunduki) tungeshachomekewa. Sasa hapo ni kipi cha ku-update. Website au watendaji? KWELI BONGO NI TAMBARARE ALIVYOSEMA...
 
Acha uongo, Mgonja aliingia kwa title aliyokuwa nayo sio zaidi ya hapo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…