AIBU ILISHAWAHI KUKUPATA

AIBU ILISHAWAHI KUKUPATA

Mkanganyiko kukanganya

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2022
Posts
1,204
Reaction score
5,053
Aibu ni hisia ambayo inasumbua watu wengi sana
Na kiwango cha aibu kimetofautina baina ya mtu na mtu;
kuna watu ambao wana aibu kidogo na kuna wale ambao aibu zao ni kiwango cha juu sana
Mifano ya aibu ni kama ÷

i) mtu kushindwa kumtazama mtu mwingine machoni wakiwa karibu haijalishi awe jinsi sawa au jinsi tofauti au mtu kushindwa kueleza/kujieleza mbele ya hadhara.

ii) wengine kuvua nguo wakati wa kundinyana😃huficha na mikono, kujifunika kwa shuka au kuzima taa n.k

Binafsi nilishawahi kuhisi aibu baada ya kumpa mtu mkono wa salamu mbele za watu bahati mbaaaya hakuniona niliona noma sana nikapotezea kinama 😂😂

Wakubwa hivi ulishawahi kuhisi aibu ipi/wapi na ulichukuwa hatua gani??
Hivi aibu ina dawa??
 
Back
Top Bottom