Aibu isiyofutika, uliwahi kukutwa unajichua?

Aibu isiyofutika, uliwahi kukutwa unajichua?

wastani kwa idadi

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2024
Posts
503
Reaction score
1,432
Ni aibu ambayo ni ngumu kuikana na utajihisi guilty

Miaka ya nyuma kuna kipindi niliwahi kuishi kwa mjomba nikiwa nasoma form 5, Nilianza tabia sugu ya kujichua huku naangalia video za x, kwangu niliona fahari sana.

Sasa kuna siku mida ya saa tano hivi usiku nikazima taa nipige kimoko nilale, nimevaa earphones kumbe sijaichomeka vizuri kwenye simu.

Mkono moja umeshika simu wa pili najipiga jeki, jicho kwenye kideo, masikioni kelele za miguno ya kimahaba, ghafla, nikagongewa dirisha mjomba akaniambia uncle unafanya nini humo ndani, punguza sauti, kutoa earphone nagundua kelele kubwa inatoka kwenye spika, daaah! aibu ilioje.
 
Ni aibu ambayo ni ngumu kuikana na utajihisi guilty

Enzi hizo niliwahi kuanza tabia sugu ya kujichua huku naangalia video za x, kwangu niliona fahari sana.

Sasa kuna siku mida ya saa tano ivi usiku nikazima taa nipige kimoko nilale, nimevaa earphones kumbe sijaichomeka vizuri kwenye simu.

mkono moja umeshika simu wa pili najipiga jeki, jicho kwenye kideo, masikioni kelele za miguno ya kimahaba, ghafla, nikagongewa dirisha mjomba akaniambia uncle unafanya nini humo ndani, punguza sauti, kutoa earphone nagundua kelele kubwa inatoka kwenye spika, daaah !! aibu ilioje,
 
Kwanza niulize kwa mlio chuo kikuu Dar es Salaam hivi siku hizi mnanywea wapi wanzuki, mbege na chibuku kabla sijaleta kisa changu Cha aibu ya miaka 3?

Wakati nasubiri jibu toka kwa mliosoma UDSM miaka hii ya Kikwete Magufuli Nina ka kisa kadoogo tu ka aibu.
Zamani kabla ya changudoa hawajavamia barabarani, kulikua na Malaya wa kihaya waliokua wamejikita Msasani, Manzese, Livingstone Kariakoo, Sudan Temeke, Tandika sokoni, Buguruni, hapo ilipo TBS Ubungo, pale makutano ya morogoro road na UWT nakadhalika.

Sasa Kuna mrembo mmoja nilikua namfuatilia kwa karibu Sana na dadake mkubwa anajua. Kuna siku nikajisemea ngoja niende Msasani nikapige kimoja chap kwa Malaya wa kihaya. Sasa Ile naingia yule mmama akasema nimpe chake kabla ya zoezi, kipindi kile bao moja shilingi kumi. Nikampa yule mdada ten Tanzanian shillings. Tukafanya yetu tukamaliza vizuri.

Nikapandisha suruali (kwa wahaya huvui suruali yote) nokasepa. Kumbe yule mama Ile hela alii misplace, Sasa wakati natoka Niko mitaa Ile Ile ya wahaya yule mama akanikimbilia na lafudhi yake ya kihaya, na kuniambia hela sijampa nimemfanya bure, hapo Sasa tuko mandazi street tuna bishana kwa sauti. Hukunipa hela, nilikupa hela, watu wakaanza kujaa. Katika hao watu, kwa pembeni namuona dada wa manzi niliyekua namtaka. Nilitamani ardhi ipasuke nitumbukie.

Maana najua atakwenda kumueleza dadake hiki kisa. Yule Malaya akazidi kua mkali, kanishika shati turudi kwake nikamlipe ujira wa uroda. Of course nilikwenda kumpa pesa ingine tukayamaliza. Aibu Sasa ikawa mtaani kwetu maana habari zilienea kwamba Mimi nakwendaga kwa wahaya.

Nilikua natoka alfajiri Ile swala swala kurudi tano usiku. Jumapili sitoki nje.
 
Back
Top Bottom