Elections 2010 Aibu iwapate

Elections 2010 Aibu iwapate

kakuruvi

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2009
Posts
770
Reaction score
258
Hesabu ndio somo linaloogopewa na wanafunzi wengi ndio maana wanalikwepa pamoja na umuhimun wake kila sekta, sipati picha cha kinachofanya matokeo yashindwe kutangazwa sehemu nyingi wakati hesabu ya uchaguzi ni kujumlisha labda na kutoa kiasi, ina maana wasimamizi hawajui kujumlisha na kutoa? kazi kwelikweli! subira yavuta kheri ila kheri ikichelewa NEC na wasimamizi aibu na iwapate mpaka sasa Ubungo bado..
 
Sehemu nyingine wamesingizia miundo mbinu na hapa mjini je, miundo chakachua?
 
Back
Top Bottom