Hii naona walikuwa lokesheni maana dakika tano asipimue kisha baada ya hapo aanze tena,hakika hii ni muvi,ikitoka ni tanunua
hongera King Kong III umesababisha ni cheke saaanaaaa
Ha haaaaaa we jamaa Ni mbeya balaaa, sorry au Ni WA kike????? Kaka kawaida ya wasanii WA bongo, maisha Yao bila ya skendo hayaendi,utakuta Kuna movie IPO jikoni wanaitengeneza,,,,,,