Aibu: Kinondoni wajadili katiba nje ya uwanja

kabanga

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2011
Posts
37,421
Reaction score
18,760
Jana likuwa siku ya kwanza kwa halimashauri za mkoa wa Dar es salaam kujadili katiba mpya.
wilaya ya kinondoni wajumbe walijadili katiba nje ya uwanja huku mvua ikinyesha.

Awali waliambiwa kuwa watafanyia TRAVERTINE lakini wenye hotel wakapishana na Halimashauri juu ya Chakula, halimashauri walikataa kununua chakula hapo hotelini wao wakasema wana mpishi wao.

Wajumbe wakagoma kujadili mpaka pale walipoombwa kwa MASLAHI YA TAIFA.


MY TAKE:
je Halimashauri haikulijua hili suala mapema au dharau zao?
 
Acha kupost vitu usivyo vijua Jana kinondoni hawajafanya mkutano wa baraza la katiba, kikkao kimefanyhika leo
 

Haya, elezea unachojua...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…