Lole Gwakisa
JF-Expert Member
- Nov 5, 2008
- 4,768
- 2,361
DC wa Kasulu ,Betty Machangu amekamatwa kwa Rushwa,Rushwa ya uchaguzi!!!
UUUwi aibu gani hii?
Kiongozi anayetakiwa kuwa mhimili wa mamlaka ya Rais Wilayani ndiye anakamatwa kwa rushwa.
Huyu ni mkuu wa vyombo vyote vya ulinzi na uslalama katika wilaya yake ya Kasulu, leo ni mhalifu wa rushwa(ingawa bado kesi kwenda mahakamani)
Aibu kubwa kwa serikali na kada yake ya uongozi.
TZ DAIMA: DC Kasulu mbaroni kwa rushwa, alikuwa akitoa fedha, vitenge,asali,vipeperushi.TAKUKURU wapambana naye kwa saa 1
NIPASHE: DC mgombea ubunge mikononi mwa TAKUKURU, pia wapambe,fedha zakamatwa(27/07/2010)

Mzee wa Bongo, ni aibu kubwa kimaadili kwa mtetezi wa haki na wanyonge kujikuta yeye yuko kundi hilohilo la rushwa.Mkuu nashindwa kusema kama hii ni aibu, kuna mambo mengine tunayafanya kila siku lakini hatuoni aibu kwa kuwa hayaandikwi magazetini. Can you call this thing shame or even scandal? Sasa kujua kama sio scandal wala shame utaona kama kuna mtu ataadhibiwa.
Nimekukubali bongolander maana nasikia yule afisa wa takukuru aliyekamata ndiye ameteremshwa cheo na kuhamishwa!!!!!!Mkuu nashindwa kusema kama hii ni aibu, kuna mambo mengine tunayafanya kila siku lakini hatuoni aibu kwa kuwa hayaandikwi magazetini. Can you call this thing shame or even scandal? Sasa kujua kama sio scandal wala shame utaona kama kuna mtu ataadhibiwa.
Mbona wengine wanaruhusiwa kugawa vipeperushi wakati wengine hawaruhusiwi?DC wa Kasulu ,Betty Machangu amekamatwa kwa Rushwa,Rushwa ya uchaguzi!!!
TZ DAIMA: DC Kasulu mbaroni kwa rushwa, alikuwa akitoa fedha, vitenge,asali,vipeperushi
Mkuu ngoja tu tupate trend ya wa kukamatwa, maana sasa fununu ndo kwanza inaanza kujionyesha.Mbona wengine wanaruhusiwa kugawa vipeperushi wakati wengine hawaruhusiwi?
wananchi waelewe kuwa, hii ndiyo miondoko iliyozoeleka kwa wote, sasa wanatafutana mumo kwa mumo, na wasio takiwa na kundi linalojiona lenyewe ndiyo lenyewe, watatangazwa na kudhalilishwa, lakini wenyewe wenyewe ng'o hautawasikia kukumatwa, dawa yao ni kuwanyima kura tu ! si tuna wajua !!