AIBU KUBWA Hospitali ya Mko wa Arusha hawana Kipimo cha ENDOSCOPE duuuh

Tonykp

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2012
Posts
1,642
Reaction score
680
Hamuwezi kuamini nikisema hospitali ya mkoa wa Arusha, Mount Meru hospital haina Kipimo cha endoscope inakulazimu mgonjwa aende KCMC AU SELIAN Hospital hii ni aibu kubwa sana kwa wizara ya afya
 
Hamuwezi kuamini nikisema hospitali ya mkoa wa Arusha, Mount Meru hospital haina Kipimo cha endoscope inakulazimu mgonjwa aende KCMC AU SELIAN Hospital hii ni aibu kubwa sana kwa wizara ya afya
Kawaida tu.
 
mbona kawaida sana kwa nchi yetu...endoscopy ni kipimo specialized sana kuna vingine basic kabisa vinakosekana hata huko unapoambiwa uende. chezea wanasiasa wewe
 
endoscopy sio ishu sana mana kuna imaging techniques nyingi na more advanced kama x rays, MRI, CT scan etc
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…