Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
Ikiwa ni ishara kuwa hila zote za CCM na vibaraka dhidi ya CHADEMA zinapuuzwa na Watanzania, post za yule mpambanaji zamani aliyegeuka kibaraka wa CCM na Mwigulu Nchemba (Kigogo wa Twitter) zimeanza kudharauliwa na Watanzania kwa kiwango cha kutisha.
Masaa 3 yaliyopita alipost uchafu ulioandikwa na gazeti ya Mwananchi kuhusu CHADEMA na Tundu Lissu. Cha kufurahisha kwa masaa 3 post hiyo imepata like 2 tu😂😂😂😂
Cha kufurahisha zaidi uchunguzi wangu umeonesha kuwa post za kibaraka huyu wa CCM juu ya CHADEMA anayesemwa kuwekwa kwenye payroll ya Waziri wa sasa wa fedha anayemchotea mahera hapo hazina zimekuwa zikipuuzwa na Watanzania waliopo Twitter kwa kiwango cha kutisha.
Hongereni Watanzania kwa kuonesha ukomavu wa akili kwa kuzipuuza propaganda mfu za CCM na vibaraka wao dhidi ya CHADEMA.