Aibu kubwa; Watoto wafariki kwa wingi Kenya kwa njaa

Aibu kubwa; Watoto wafariki kwa wingi Kenya kwa njaa

joto la jiwe

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2017
Posts
26,117
Reaction score
46,617

MY TAKE: Hivi ukiacha nchi zenye vita vya wenyewe kwa wenyewe, ni nchi gani tena hapa Afrika ambako watu wanakufa hovyo kiasi hiki?, Hivi ni vifo vya kizembe Sana, Kuna watu wajinga humu ndani kutwa wanapost "malls" na Express ways" kuonyesha kwamba nchi Yao inafanya vizuri.

Tony254 na wakenya wengine mnaopaza sauti kuwatetea watoto wa Ukraine wanaokufa, Je hawa wa Kenya nani awapazie sauti?, Nani anawajibika kwa vifo hivi, mbona hakuna hata nchi Moja ya Ulaya inayozungumzia maisha ya wakenya wanaokufa kwa njaa kila siku, acha kufuata matakwa ya nchi za magharibi wakati Kenya Kuna shida nyingi hata kuzidi Ukraine
 
Wakenya huwa niwanafiki sana tena wakiongea na kakingereza wanajiona mamtoni

Mwingine alete quotation ya Putin aliwaambia nini
 
Back
Top Bottom