Ugomvi wao ulianzia wapi hadi wakapigana namna hiyo?Leo kuna pambano kati ya antony Joshua na andy Luiz, sasa kwenye Yale mapambano ya utangulizi wamepigana watanzania wawili,Mohammed na said wote wamepigwa ila kipigo cha huyu said ilikua balaa,kapigwa right jeb moja hatari sana,ilibidi madaktari wamuwai,pambano lilikua la round nne, dogo rounds ya kwanza tu kala jeb moja matata sana... Cha kusikitisha dgo aliemchapa anamiaka 19 tu wakati jamaa ana 32
Ya kwanzaKO dk ya 2 round ya kwanza,alafu kachapwa na dogo mayai mayai anamiaka 18.