Aibu kuu: Mamlaka husika imuwajibishe Faiza kwa kuvunja maadili

Kwa hiyo umetoka huko kwa Mange Kimambi kakujaza ujinga ukaja speed huku. Mwambie mange aache kuchukua post za watu wengine na kuzifanya kuwa ajenda yake. Dada wa watu Faiza kaipost kwenye page yake, kaongelea maisha yake halafu huyo Mange anaona kapata cha kuandika anaiba post ya dada wa watu. Wewe mleta mada na Mange wako mjifunze kuacha ukwapuaji, na mpunguze ujinga wa kuingilia personal life za watu.
 
Mimi kwangu akiweka sehemu zake za siri hadharani ni burudani tosha kabisa

Ha ha haaaa
Shauri zako utazidi kuichukia hii tawala.. unataka kuitwa ofisini kwa Naibu Waziri kujielezea kwanini unaipenda na wewe ukiwa mmoja wapo kuwafanya hao wadada wavae nguo fupi..

Maana hata mwananchi wa kawaida sio raisi kufika kwenye ofisi zao akiwa na jambo muhimu la michezo au sanaa kusaidia kuijenga nchi yetu hii...
 
Sio sawa hata tukijifanya tumezoea,hii inashusha sana thamani ya mwanamke kwa ujumla,very bad behavior kataa au ukubali maana alitaja na kusema kinane kilionekana kupitia tobo la pichu hii haipo sawa

Kilionekana kwa nani.. yaani ulikiona.. si alisema pia anavaa mwilini na haionekani au.. wengine mna jicho la nne mnaona ya ndani..

Mbona kuna pichu za namna hiyo madukani zinauzwa na hamzikani?

Achana na haya.. maana pichi yake na mapenzi yake.. hapo anamkumbusha ex wake aikne amkumbukie.. nyie mnaingilia yake ya kuumizwa kwa kumpenda mwanaume.. eeeeh
 
Hayo ni maisha yake binafsi we dont care/give a f at all. hii nchi bana tunafatiliaana utazani tupo zama za mawe za kati aargh.
 
Ndo hapo sasa nashangaa shida iko wapi.


Mbona wewe unaanikaga chupi zako zilizotoboka kwenye kamba nje na mnakaa wapangaji wengi.

Mleta mada anatakiwa awe na mambo ya kizungu kama wewe.


Eeeeh Mwaka jana ulisema hautaninukuu tena. Hadi mwaka huu.. maana kwa nondo nilikumaliza.

Leo naona umewashwa washwaaa haswa kuanza tabia yako mbovu tena kama vile sitiresi zako nakupatia mie.. kaa huko..

Bila kusahau nashukuru kwa kunileza jinsi unaishi na mnayovaa na kuyaanika.. ila hayo maji ya mashimo ya barabarani nyie si mjitahidi kazi zipo kujiongeza hata kuwa mnanunua ya sh.1 mfue vizuri zisizidi kutoboka.. eeeeh

Bye bye.. sitaki unizoee na acha maneno yako ka vile unanifahamu.. mwaka huu 2018 mie nazidi kuburudika kivyangu humu JF.. sitaki na ubishororo wako ovyoooo
 


Hili likitabu lako uliloandika unafikiri na mda wa kulisoma.
 
Sio sawa hata tukijifanya tumezoea,hii inashusha sana thamani ya mwanamke kwa ujumla,very bad behavior kataa au ukubali maana alitaja na kusema kinane kilionekana kupitia tobo la pichu hii haipo sawa
Thamani ya mwanamke au thamani ya faiza ?
Tukimaliza tuanze na wale wanaoanika chupi uwanjani.
 
Hili likitabu lako uliloandika unafikiri na mda wa kulisoma.

Wewe tena eeeeeeeh huwezi kupita posts zangu bila kunisoma.. unajua hilo na unalifahamu hilo.

Ukae salama.. haya nimekunukuu kwa ujanja wako nimeelewa.. acha ubishololo.. unajijua bishololooo wewe.. kwa jinsi unavyoandika humu.. eeeeeh CIAO.. ringa uringiwe.. jifunze
 
Mbona hayo alishayarusha kwenye account yake mwenyewe jana au juzi?

Yaani kuongelea pichu yake nayo inakusumbuaje haswa!?.. napenda kufahamu.
Ya kwako pia ina tobo mkuu?[emoji53][emoji53][emoji53]
 
Huyu Dada aiseee hatari sana alafu ujasiri ule anautoa wapi? Je? Hana mume au mpenzi au bwana anaeishi nae au Ku date nae? Mbona amejishushia heshima jamani wanawake ndio mmefika huku?
 
Mbona madukani zinauzwa na wanakubia hii ni cotton au siyo nguo !! au kwa sababu inaitwa pichu!!
 
Faiza ni entatainer cheese nadhani hata mheshimiwa Sugu ameshazoea vituko vya baby mother
 
Ukiona mwanamke anavaa chupi mpk inatoboka namna ile basi hauthamini kbs uchi wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…