Aibu kwa Barnabas kwenye video ya Mapenzi Jeneza

Aibu kwa Barnabas kwenye video ya Mapenzi Jeneza

ShaKimpunda

Member
Joined
May 11, 2017
Posts
28
Reaction score
12
Nilifikiri vijana kama Barnabas wameshafunguka kimaisha na has a kuhusu fashion. Nilichokiona kama hakikufanywa kwa makusudi basi ni ushamba wa hali ya juu kwa B boy. Kavaa kitop cha kike, au ni macho yangu? Mwenyewe kajiachiaje! Hana hata habari. Pole take.

 
Ndo hali halisi hiyo, siku hizi Vijana wa Kike na Kiume wanashare mambo mengi ikiwemo Mavazi, Vipodozi hadi Dressing Table!
 
Hao hata ukiwavua nguo ndani utaona wamevaa chupi za kike, washaharibika hao.
 
Back
Top Bottom