Aibu kwa mikia: Sio uwanja wa taifa tu, hadi ugenini wanapulizia dawa

Singida ndio home

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2012
Posts
3,188
Reaction score
3,370

Wanaweka madawa, yapi??? jibu unalo wewe 🙂 🙂

Mmmh hatari mambo kama hayo ukiwa karibu karibu unaweza ukatolewa kafara,hapo sijui maji ya maiti gani yarabi?

Kama ubavyoona kwenye video hadi mropokaji kashiriki hili zoezi, wachezaji wa mikia wanaingia chumba ambacho hakijapuliziwa ila wapinzani wataingia kwenye chumba kilichopuliziwa.

Ikumbukwe As Vita Hao waligoma kuingia vyumbani kwa ajili ya hicho unachokiona, wameumbuka mambo hadharan, Club zote tatu as vita, al ahly na mazembe waliifunglia kesi ya uhuni huo.

Hii dawa ikiingia mwilini hata iwe club ya al ahly aliekupiga khamsa ugenini, nyumbani unaweza kumpa nae khamsa ila kwa vile wachezaji ni babu zetu wanajipigia mbili au moja
 
View attachment 1209771

Jiandae kwanza Na Zesco
Habari ya Simba Haita kusaidia
Labda ujipange hasa mwezi wa 1
Usifungwe na simba
 
Fedheha hii

Ila walifua dafu kwa UD Songo, kweli wamakonde hatari sana.
 
UD SONGO walitoka kigoma huku tayari wamevaa jezi walivyofika dar moja kwa moja uwanjani, na hawakuingia vyumbani, hapo simba hewa yao ya sumu ikawakosa
 
Mtahangaika sana na Simba nendeni na nyie mpulizie ili mshinde, timu lenu bovu mnajitetea mapema kwa sababu hamuwezi kufika ilipofika Simba mwaka jana Robo fainali
 
Mo asiwasahau hawa wajumbe wa kamati kwenye ule mgao wa zile boxer!!
 
Mtahangaika sana na Simba nendeni na nyie mpulizie ili mshinde, timu lenu bovu mnajitetea mapema kwa sababu hamuwezi kufika ilipofika Simba mwaka jana Robo fainali
Akili za mikia fupi sana, umekubali kwamba mnapuliziaga dawa,

Yanga tunacheza mpira na wachezaji, hatuchezi mpira na waliolewa hizo dawa zenu legs lege.

VUA CHUPI KAA PEMBENI
 
Hivi kama hiyo ni sumu, ilikuwaje isiwaathiri hao waliokuwa hapo ndani?
Yaani iwe sumu halafu viongozi wote wawe hapo ndani ya vyumba na inyunyiziwe kienyeji hivyo bila tahadhari yoyote kweli??
...
 
View attachment 1209771

Wanaweka madawa, yapi??? jibu unalo wewe 🙂 🙂

Mmmh hatari mambo kama hayo ukiwa karibu karibu unaweza ukatolewa kafara,hapo sijui maji ya maiti gani yarabi?

Kama ubavyoona kwenye video hadi mropokaji kashiriki hili zoezi, wachezaji wa mikia wanaingia chumba ambacho hakijapuliziwa ila wapinzani wataingia kwenye chumba kilichopuliziwa.

Ikumbukwe As Vita Hao waligoma kuingia vyumbani kwa ajili ya hicho unachokiona, wameumbuka mambo hadharan, Club zote tatu as vita, al ahly na mazembe waliifunglia kesi ya uhuni huo.

Hii dawa ikiingia mwilini hata iwe club ya al ahly aliekupiga khamsa ugenini, nyumbani unaweza kumpa nae khamsa ila kwa vile wachezaji ni babu zetu wanajipigia mbili au moja
Mkuu sio simba tu wanaopuliza dawa...hata jkt ruvu nao wanapuliza
 
Hivi kama hiyo ni sumu, ilikuwaje isiwaathiri hao waliokuwa hapo ndani?
Yaani iwe sumu halafu viongozi wote wawe hapo ndani ya vyumba na inyunyiziwe kienyeji hivyo bila tahadhari yoyote kweli??
...
Si niumbumbumbu,we Rage hukumsikia?
 
Hivi kama hiyo ni sumu, ilikuwaje isiwaathiri hao waliokuwa hapo ndani?
Yaani iwe sumu halafu viongozi wote wawe hapo ndani ya vyumba na inyunyiziwe kienyeji hivyo bila tahadhari yoyote kweli??
...
Tatizo lako akili yako imejaa makapi ya mikia, hilo bomu lililopulizwa hapo linalipuka baada ya dakika kadhaa wachezaji wa timu pinzani wakifika humo ndani. Pia viongozi na mropokaji wa mikia fc lazima wahakikishe ni kweli imepulizwa kama unavyowaona.
 
Back
Top Bottom