sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Sio mara ya kwanza, sio kituko tena bali ni tatizo kubwa.
Ni dhahiri kabisa kitu pekee alichobeba ni mdomo tu huku akili ikiwa imelala
Hali take ya afya ni dgahiri kabisa hata miujiza ikitokea akashinda basi raisi atakuwa ni yule mwenye rimoti.
Kutumikia kwake serikali kwa muda wa miaka 47 ni kigezo tosha kwa kupumzishwa kwa nia njema ili ajikite zaidi kwenye matibabu