sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Mkuu ntakutafsiria video, naona ipo kwa kiingerezaTrump kesha shindwa
Trump kwa sisi tunaochambuaga mawe na mchele wa mdeia, tunajua ndiye raisi bora yupo tatu bora tangu marekani ipate uhuru.To honest trump ni better kuliko biden sema upepo tu wa kisiasa na kutokupendwa kwa trump sababu ya shombo zake ndo maana biden anaonekana ana afadhal lakin hamna kitu apo
Mkuu usiingilie majukwaa usiyoyajua na kuanza kujudge waty utafkiri unawajua, Kama umekosea njia nenda jukwaa unalolitaka maana humu ni dhahiri wewe sio mlengwaBasi Hapo umekaa kijiweni kuchambua siasa za marekani ushajikuta mange kimambi...hiyo nguvu tumia kutafuta pesa kijana
Hakuna Democrat alie na akili timamu atataka kushindana na Trump kwa sasa maana atasgindwa tu, Wengi wanasubiri 2024 huko....Kwa saizi labda ni hawa wagonjwa wa akili pekee ndio wamepewa nafasiMimi nilishasemaga kwamba nahis wakubwa huwa wanachezaga na akili za watu, nahis wanapangaga tu kwamba kwa sasa rais awe nani ila wanaweka politics, nijuavyo mm Dems wanakuaga na candidates wengi na wazuri zaid ya Rep, sasa yaan tuseme huu mwaka 2020 walikosa mtu kabisa mpaka kuamua kumuweka Biden? Kama sio wanataka njia iwe nyeupe ya Trump
Hi isijekuwa Kama zile clip zinazotengenezwaga kule Lumumba kuhusu wapanzani zikiwa zimekatwa katwa. Labda utupatie hotuba yake nzima ndo tunaweza kukuamini
Sio mara ya kwanza, sio kituko tena bali ni tatizo kubwa.
Ni dhahiri kabisa kitu pekee alichobeba ni mdomo tu huku akili ikiwa imelala
Hali take ya afya ni dgahiri kabisa hata miujiza ikitokea akashinda basi raisi atakuwa ni yule mwenye rimoti.
Kutumikia kwake serikali kwa muda wa miaka 47 ni kigezo tosha kwa kupumzishwa kwa nia njema ili ajikite zaidi kwenye matibabu
Mkuu kila kitu kipo nyeupe na nyeusi hapo, hakuna cha kuongezwa wala kupunguzwa...Na nikukumbushe tu "NI MARA YA PILI"Hi isijekuwa Kama zile clip zinazotengenezwaga kule Lumumba kuhusu wapanzani zikiwa zimekatwa katwa. Labda utupatie hotuba yake nzima ndo tunaweza kukuamini