Aibu: Mrisho Gambo aongea Uongo hadharani kwa lengo la kumdanganya Rais

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Uongo wenyewe tena wa Kijinga huu hapa

Screenshot_2025-02-19-16-11-14-1.png
Screenshot_2025-02-19-16-11-01-1.png

Hata kama Wananchi ni Wajinga kiasi hiki, Uongo wa namna hii haukubaliki.
 
Uongo wenyewe tena wa Kijinga huu hapa

View attachment 3241867View attachment 3241868

Hata kama Wananchi ni Wajinga kiasi hiki, Uongo wa namna hii haukubaliki.
Sema mwanangu licha ya uchawa ukioundekeza Kwa Mbowe nakukubali sana ulivyobaki Kuwa teamCHADEMA maana wenzako wote wamejidhirilisha hadharani kuwa wao ni walikuwa chadema kimasrahi ili chadema in blood ilikuwa teresha.

Big up brother
 
Sijawahi kuwa Chawa wa Mbowe, narudia tena, hakujawahi kuwa na Tajiri Chawa, Wabongo wengi hamna jicho la 3 mmejaa umasikini wa akili na hela, hamna uwezo wa kung'amua mambo.

Mimi nimeunga mkono Chadema na ninao uzi humu wa kiapo kwamba nitaunga mkono Chadema katika maisha yangu yote yaliyosalia, wakati naandika haya nilijua kwamba hakutakuwa na uongozi wa milele, Mbowe katoka na Lissu pia atatoka lakini Chadema itabaki.
 
Kwaiyo sifa za kijinga na kipumbavu ulizokuwa unampamba mbowe na familia yake zinatofauti gani na za chawa wa mama na machawa wengine wanaomsifia Samia?
 
Back
Top Bottom