Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Nabisha, kingine ni hiki, namfahamu Mrisho kuliko unavyodhani, Anaishi kwa uongo tuusibishe ndugu
Sema mwanangu licha ya uchawa ukioundekeza Kwa Mbowe nakukubali sana ulivyobaki Kuwa teamCHADEMA maana wenzako wote wamejidhirilisha hadharani kuwa wao ni walikuwa chadema kimasrahi ili chadema in blood ilikuwa teresha.Uongo wenyewe tena wa Kijinga huu hapa
View attachment 3241867View attachment 3241868
Hata kama Wananchi ni Wajinga kiasi hiki, Uongo wa namna hii haukubaliki.
Sasa wewe unapinga nini ulikuwepo kwenye mazungumzo yao??basi tuambie wewe lema alichomwambia gamboUongo wenyewe tena wa Kijinga huu hapa
View attachment 3241867View attachment 3241868
Hata kama Wananchi ni Wajinga kiasi hiki, Uongo wa namna hii haukubaliki.
Sijawahi kuwa Chawa wa Mbowe, narudia tena, hakujawahi kuwa na Tajiri Chawa, Wabongo wengi hamna jicho la 3 mmejaa umasikini wa akili na hela, hamna uwezo wa kung'amua mambo.Sema mwanangu licha ya uchawa ukioundekeza Kwa Mbowe nakukubali sana ulivyobaki Kuwa teamCHADEMA maana wenzako wote wamejidhirilisha hadharani kuwa wao ni walikuwa chadema kimasrahi ili chadema in blood ilikuwa teresha.
Big up brother
Sijui kwanini Gambo bado ni Mshamba sana japo kakaa mjini!Sasa wewe unapinga nini ulikuwepo kwenye mazungumzo yao??basi tuambie wewe lema alichomwambia gambo
Kwaiyo sifa za kijinga na kipumbavu ulizokuwa unampamba mbowe na familia yake zinatofauti gani na za chawa wa mama na machawa wengine wanaomsifia Samia?Sijawahi kuwa Chawa wa Mbowe, narudia tena, hakujawahi kuwa na Tajiri Chawa, Wabongo wengi hamna jicho la 3 mmejaa umasikini wa akili na hela, hamna uwezo wa kung'amua mambo.
Mimi nimeunga mkono Chadema na ninao uzi humu wa kiapo kwamba nitaunga mkono Chadema katika maisha yangu yote yaliyosalia, wakati naandika haya nilijua kwamba hakutakuwa na uongozi wa milele, Mbowe katoka na Lissu pia atatoka lakini Chadema itabaki.
Kwani wewe ni mke wa nani maana umeendekeza kusifia wanaume wengine hasa vigogo wa CCM vipi mme wako haoni wivu?Kwa hiyo wewe unamkatalia Lema kama nani? Wewe ni mke wa Lema ? Wewe ni Lema?
Mshamba ni wewe unayeshuhudia uongo wakati hukuwepo kwenye mazungumzo yao ndiyo maana hujui ,alitakiwa gambo ndiyo aseme kuwa Lema ni muongoSijui kwanini Gambo bado ni Mshamba sana japo kakaa mjini!
Huna hojaKwaiyo sifa za kijinga na kipumbavu ulizokuwa unampamba mbowe na familia yake zinatofauti gani na za chawa wa mama na machawa wengine wanaomsifia Samia?
Lema: Nilitaka kuachana na SIASA za Arusha lakini Wananchi wamenitaka nigombeeUongo wenyewe tena wa Kijinga huu hapa
View attachment 3241867View attachment 3241868
Hata kama Wananchi ni Wajinga kiasi hiki, Uongo wa namna hii haukubaliki.
Sasa unalia nini?Mshamba ni wewe unayeshuhudia uongo wakati hukuwepo kwenye mazungumzo yao ndiyo maana hujui ,alitakiwa gambo ndiyo aseme kuwa Lema ni muongo