Aibu nyingine Addis Ababa

Turnkey

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2013
Posts
7,359
Reaction score
5,837
Mpira wa miguu umetushinda Tanzania.Inakuwaje timu ya Taifa inaingia uwanjani kucheza mechi huku Jezi waliyovaa ina tangazo la biashara (Kilimanjaro beer).

Watangazaji wa DSTV walikuwa wanatucheka ni aibu. Viongozi wa mpira wawajibike.Raisi Magufuli kuna vilaza wanalitia aibu Taifa Kila kukicha tunaomba fanya kuwatembelea bila ya taarifa
 
...hao k/njaro si ndio wadhamini au?!, yani mapesa yao mnayataka halafu kuwatangaza hamtaki?!
Hao DSTV wacha wajichekeleshe tu, hawajielewi!
 
Au unamaanisha jezi ziliandikwa beer badala ya bear? Otherwise sijakusoma.
 
...hao k/njaro si ndio wadhamini au?!, yani mapesa yao mnayataka halafu kuwatangaza hamtaki?!
Hao DSTV wacha wajichekeleshe tu, hawajielewi!

Jezi za timu ya taifa inayotumika kwenye official match haipaswi kuwa na nembo ya mdhamini, ni jezi za mazoezi tu ndo zinaruhusiwa
 
Jezi ya taifa lolote ukitoa nembo ya chama cha soka na nembo ya mzalisha jezi hizo mfano nike, adidas au puma. haipaswi kuwa na nembo ya mdhamini yoyote labda jezi za mazoezi
 
Kwan haya mashindano yanatofauti gani na ndondo? Kilimanjaro wapo sahihi tuu sidhan kama CAF wanayatambua!
 
...hao k/njaro si ndio wadhamini au?!, yani mapesa yao mnayataka halafu kuwatangaza hamtaki?!
Hao DSTV wacha wajichekeleshe tu, hawajielewi!

Wewe ndo hujielewi maana hujui taratibu zikoje
 
Jezi ya taifa lolote ukitoa nembo ya chama cha soka na nembo ya mzalisha jezi hizo mfano nike, adidas au puma. haipaswi kuwa na nembo ya mdhamini yoyote labda jezi za mazoezi

asante kwa kutuongezea ufahamu..kwani kitu kama hujui kubali tu kufundishwa.
 
We uliona wapi jezi za timu ya taifa ina nembo ya mdhanimi? kumbe wengi hamjui taratibu daah
Mkuu, mbona wapo wengi tu nchi hii? Tuna safari ndefu na ngumu kufikia mafanikio. Mungu atuhurumie.
 
Kwan haya mashindano yanatofauti gani na ndondo? Kilimanjaro wapo sahihi tuu sidhan kama CAF wanayatambua!
Mkuu, jezi ya timu ya taifa ina heshima yake mkuu. Lakini kwa kuwa wanye AKILI wameisha tuona ni ZUZU basi ndo hivo tena.
 
Mleta Uzi yupo sahihi, jezi ya timu ya taifa lolote Liwe haitakiwi kuwa na tangazo LA biashara zaidi ya nembo ya chama cha soka cha nchi husika na mtengenezaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…