Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Ligi haina thamani,angalia hata mchezaji alivyo inaonesha anacheza ligi isiyo na pesa,geita gold kibao zinaenda tengenezea viatu vya dhahabu akina messi.Meddie Kagere akiwa na tuzo yake. Unaizungumziaje tuzo hii? Kwako mwalimu Kashasha
View attachment 1114163View attachment 1114164
Anamaanisha zawadi iwe katika sampuli hii huku kiatu kipambwe kwa madini ya dhahabuUlitaka kile Cha kuvaa kabisa chenye gold ya geita?
Hatutaki kuiga vya mabeberu. ovaAna maanisha zawadi iwe katika sampuli hii huku kiatu kipambwe kwa madini ya dhahabuView attachment 1114169
WenzetuUlitaka kile Cha kuvaa kabisa chenye gold ya geita?
Hivi ndio vitu vinavyotakiwa karne hiiAnamaanisha zawadi iwe katika sampuli hii huku kiatu kipambwe kwa madini ya dhahabuView attachment 1114169
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Msimu ujao atapata. SI Kuna kg 325 zimerudishwa?
Meddie Kagere akiwa na tuzo yake. Unaizungumziaje tuzo hii? Kwako mwalimu Kashasha
View attachment 1114163View attachment 1114164
Unajua thamani yake?Anamaanisha zawadi iwe katika sampuli hii huku kiatu kipambwe kwa madini ya dhahabuView attachment 1114169