Aibu rais kulala hadharani!

sidhani kama hapo kalala ninavyomfahamu bw. huyu ni hodari hachoki hata anapokuwa katika ziara zake za mikoani wasaidizi wake hukoma!!! akiamua kutembelea miradi hata kula chakula huwa hakumbuki isitoshe jamani huyu Rais wetu ni binaadamu kama wewe ambaye unadai siyo rais wako sasa kulala iko mbaya gani siyo malaika huyo jamani....chuki nyingine bw!!!!
 
hajalala bwana, jamaa mbona mara kibao anainamisha kichwa hiyo
 
jamani unajua hata kupombeka sana na kwenyewe kunachangia pamoja na vile brother men wetu anapenda bongoflv inawezakana ndo ameuona jana wimbo wa barnab boy sa akawa ana urudia tu mpaka majogoo.........lazima asinzie hadharani.
 
Tatizo la uongozi mbovu..ameifanya nchi inashindwa kujitawala yenyewe..sasa ona sasa hapati hata muda wa kupumzika..inabidi afanye kazi usiku na mchana kusawazisha madudu yake, ndo maana anakua amechoka kiasi hicho. Angeweza kuweka misingi mizuri ya utawala wake wala haya mambo ya kumpumzika yasingemsumbua...kwani angekua na viongozi ambao ni watendaji kweli, ambao hana haja ya kuwafuatilia migongoni mwao..yeye angepata muda wa kupumzika. Ila unapokua na safu ya viongozi ambao hawawezi kukusaidia unategemea nini? Na sio hivyo tuu..unapoogopa kuweka viongozi watendaji ukiogopa ya kwamba watapata umaarufu zaidi yako unatagemea nini? ndo malipo yake hayo..Ameyataka mwenyewe.
 
Picha ya wakati wa msiba wa salome mbatia... alianza kuchoka zamani sana
 
Yaani nimecheka na kusikitika at the same time. Nimecheka maana wote waliomzunguka wanajifanya kama hawaoni kabisa na wamejikaza kisabuni. Nimesikitika at what a spectacle it was kwa wengineo pamoja na uchovu aliokuwa nao.
The matter of the truth is, he is human just like you and me.
 
Hkuna cha kuchoka na safari....nyie hamumjui vizuri huyu jamaa, ucheck bob umemzidi huenda alikesha disco...manake kwa kujirusha tu raisi tunaye
 
Ratiba ya mambo yetu yale vipi naona hata Obama wasaidizi wake hujua akifanya mambo yetu yale lakini wanaongea kwa "codes" mafumbo wekeni wazi.
 
Halafu aliyekaa naye jirani Bwana Karume kamwacha tu jamaa alale kwa raha zake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…