njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,081
- 8,671
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Wanaongea kiuturuki. Mbona wabongo wengi wanajua kituruki, wewe tu. [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ile radio kwa Sasa ina watangazaj wasiozid watatu...Sasa hivi ni saa moja usiku na dakika 5 , kwa muda wa dakika tano inaoenakana RFA studio hakuna mtu kuna DW lugha gani sijui kifaransa au kipashtun kiko hewani and nobody cares
Its a shame Diallo kafikia hatua hii
Tutajie na nini sababu ya kuwa hao?Ile radio kwa Sasa ina watangazaj wasiozid watatu...
WamburaIle radio kwa Sasa ina watangazaj wasiozid watatu...
Diallo alishastaafu,hivyo vyombo vinaendeshwa na mwanae na mdogo wakeSasa hivi ni saa moja usiku na dakika 5 , kwa muda wa dakika tano inaoenakana RFA studio hakuna mtu kuna DW lugha gani sijui kifaransa au kipashtun kiko hewani and nobody cares
Its a shame Diallo kafikia hatua hii
Kumbe ndo kituruki hichoWanaongea kiuturuki. Mbona wabongo wengi wanajua kituruki, wewe tu. 🤣🤣🤣
Aisee hata mimi nashangaa wabongo kituruki lugha inashabiana kabisa nakibongo. Yani mtangazaji huyo alivyoanza tu Nengla Ndangla ndani ya tumbo eeehWanaongea kiuturuki. Mbona wabongo wengi wanajua kituruki, wewe tu. 🤣🤣🤣
asubuhi hadi usiku wambura mtani anatangaza asilimia 80 ya vipindi , dah hawa jamaa wameporomoka sanaMara hiyi umeleta uzii [emoji23][emoji23][emoji23] ni muingiliano tu wa matangazo kama yule aliye gombea uspika ambae kasahau hadi mwaka wake wa kuzaliwa 21,,,,,27 ,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uzi ufutwe server zimejaa na mm nataka nipost uzi wa kimataifa sasa nafasi imejaziwa na hii post
Sent using Jamii Forums mobile app
Wamewapiga chenga ya macho TCRASasa hivi ni saa moja usiku na dakika 5 , kwa muda wa dakika tano inaoenakana RFA studio hakuna mtu kuna DW lugha gani sijui kifaransa au kipashtun kiko hewani and nobody cares
Its a shame Diallo kafikia hatua hii
Sio kweli nina marafiki zangu zaidi ya nane ni watangazaji pale na hata hivyo hiyo sio kazi yao.Ile radio kwa Sasa ina watangazaj wasiozid watatu...
hizo ni redio washirika zake, yeye ana mitambo na anatafuta content na DW wanatafuta pa kuweka content zao, ni biashara hapo, hafanyi bure kuna kitu RFA inapata, so wanaoelewa sijui ndio kituruki etc nao wanapata habari zao. Muda huo wewe sio target audience, rudi tena kusikiliza baadaeSasa hivi ni saa moja usiku na dakika 5 , kwa muda wa dakika tano inaoenakana RFA studio hakuna mtu kuna DW lugha gani sijui kifaransa au kipashtun kiko hewani and nobody cares
Its a shame Diallo kafikia hatua hii