Moto wa volcano
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 1,148
- 2,815
Hii kitu niligoma aiseh!!hata kama ke ni wenge hakikisha mtoto ana kwao yaani kwao sio kwa bibi Wala babu!!!Aibu sana kwa mwanaume kuitelekeza familia yake kwakisingizio cha kuachana / kukosa maelewano na mwanamke aliyemzalisha. Sifa kubwa inayo mueleza mwanaume ni wajibu wake kwa familia yake . Mwanaume aliyekamilika hawezi kukubali watu wengine wamlelee watoto wake wakati yeye yupo hai , that is stupidity
Hhhh Acha maisha ya kukaririPole sana yatapita
Umesema kweli nafuu mtu abaki kujitafuta kimaisha ili kuepuka fedheha na lawamaMkuu umetema Moto wa volcano hii ni aibu sana kama hajajipanga mtu asiwe tu na familia
Hakikisha mtoto ana kwao!Hii kitu inanigusa,mpaka sasa nipo njia panda