njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,081
- 8,671
Amini usiamini nchi nzima hii haina bus yale kama yanayotumika nchi zilizoendelea kufanya city guiding tourism , yaani huku team ikishinda ni wachezaji na benchi la ufundi ni kupakizwa kwenye ma fuso au tandam, Godamn it
Natoa rai kwamba msogee hapo zambia tu mkakodishe hili bus ndugu zangu kwa kuanzia na nyie utopolo mshajua mnachukua kombe anzeni mapema kwenda kitwe kuchukua basi hilo
Natoa rai kwamba msogee hapo zambia tu mkakodishe hili bus ndugu zangu kwa kuanzia na nyie utopolo mshajua mnachukua kombe anzeni mapema kwenda kitwe kuchukua basi hilo