njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,081
- 8,671
sababu yanga siyo team maskini ya kupanda ma fuso ya wanuka jasho wanaotumia spika za mende na kushinda juani, unataka semaji lisomi linalilipwa milioni 9 kwa mwezi lipande tandam kwenye parade?Simba misimu minne walikuwa wanatumia kirikuu ,hukuwahi kuanzisha uzi kuwashauri
Mwaka huu huo upendo wakuwashauri Yanga ,umeutoa wapi?
Inabidi kuwe hata na basi moja nchi hii la kutembeza watalii kwenye miji kama yale mabus ya london kunakuw a hadi na tour guide anatangaza maeneo kwa microphoneKila Jambo nawakati wake, yaani baada ya kupanda ilo basi na kusheherekea ubingwa Litakua likifanya kazi gani Tena? Si Bora wakakodi lile la manispaaa ya Kinondoni Lilo achwa na mkoloni.