Aibu: Tanzania yashika Mkia Elimu ya Juu Afrika Mashariki. Ili Kufuta Aibu Serikali yatenga Bil.972 kuongeza Udahili

Sikuhizi umeacha kuimba mapambio kwa mother??
Mimi sijawahi imba pambio Wewe kima,mimi huwa natoa kongole panapostahili na nakosoa panapobidi..

Tafuta nyuzi zangu ziko nyingi Sana humu zikikosoa na kutoa ushauri..

Hata hivyo SSH kaamua kufanya kwenye kwa kutoa hizo bil.972 kwa ajili ya kuwapunguzia ujinga.
 
Sijaona sababu yoyote ile ya wewe kuniita kima, umasikini usikufanye upungukiwe akili za kuchangamana na watu.
 
Nimeshindwa kuisoma hio screenshot, nani anaweza kunisaidia idadi ya wadahiriwa kwa mwaka 2021
Tz=
Kn=
Ug=
Rw=
Br=
 
Mauzauza hoyee [emoji1417][emoji1417]
 
Ujinga ni mtaji wa sisi CCM.
 
Povu lako halitafuta ukweli. Uzalendo gani wa kijinga unaotaka wewe?
 
Punguani.Unafurahia ujinga wa wengine Kwa vile unakunufaisha binafsi na chama chenu.
Bakheresa sio mjinga alishia Darasa la pili ni Bilionea

Shule ya sekondari Kemebos iliyoshika nafasi ya kwanza kitaifa mumiliki.n mzee kaizerege ni i darasa la saba ana hela nyingi mno
Msukuma ni mbunge darasa la saba ana mabasi zaidi ya mia moja na ana umiliki helikopta anayoendesha mwenyewe ya kutembelea alitonunua Cash

mjinga wewe mwenye digrii halafu maskini unayetambia mivyeti ya digriii na kutembelea gari used yalizookotwa jalalani japani au majalala ya Ulaya tena ya mkopo
 
Na PM ameliona hili la Elimu duni na ya hovyo 👇
 

Attachments

  • Screenshot_20220720-092011.png
    147.5 KB · Views: 7
Tz hata ubora wa walimu sio mzuri, cotent za walimu ni poor sana

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Daah, yaan Tz izidiwe na Burundi, mmechanganyikiwa? Mnatunga Data za kupika ili kuhalalisha mkopo wa ajabu ajabu ambao mwishowe wote unarudi kwao na riba juu..., yaani tunakopa kama wendawazimu!!!! Hawa wanaomaliza tu kwa sasa 95% hawapati ajira, hao mnaotaka kukopea matrillion mtawapa ajira gani?
 
Hizo m siasa zinatumika kuombea miradi au grants, ila elim yetu huwez ifananisha na wenzetu, ingawa tuna matatizo mengi ila mostly tuko vzr.

Wanapotuacha na confidence tu na kuchakarika, ila kujua vtu tunajua saana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…