nini chanzo cha aibu?
binadamu anaanza kuwa na aibu wakati gn?
ni kweli mtu alierukwa na akili hana aibu?
kuna namna yyt ya kumfanya asie na aibu awe na aibu?
kwa nini wanawake wana aibu kuliko wanaume?
Soni, hayaMkuu nakushukuru! vp khs swali la kwanza?