Leo imekuwa siku mbaya kwangu, nimepanga geto uswahilini na tunashare choo/bafu(both in the same room) na wapangaji 7 wengine(most ni 1st & 2nd year wa chuo jirani hapa).
Asubuhi ya leo nimenda chooni kwa lengo la kujisaidia pamoja na kuoga lakini janga likanipata mdada wa 1st year amekuja kwa spidi ghafla kavuta mlango na ukachia, nilikuwa nimechuchumaa ikabidi nisamame kwa haraka kuvuta mlango(kibaya nilivua nguo zote nkiwa na lengo la kuoga after), ndugu zangu majanga ikabidi ashike mdomo kwa mshtuko akabaki kusema "samahani jamani" akiwa anaondoka.
Siwezi kueleza yote ila toka asubuhi sikutoka ndani kwa aibu iliyonipata.