Aibu tupu, amenikuta bafuni nikiwa uchi wa mnyama

Makaura

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
892
Reaction score
295
Leo imekuwa siku mbaya kwangu, nimepanga geto uswahilini na tunashare choo/bafu(both in the same room) na wapangaji 7 wengine(most ni 1st & 2nd year wa chuo jirani hapa).

Asubuhi ya leo nimenda chooni kwa lengo la kujisaidia pamoja na kuoga lakini janga likanipata mdada wa 1st year amekuja kwa spidi ghafla kavuta mlango na ukachia, nilikuwa nimechuchumaa ikabidi nisamame kwa haraka kuvuta mlango(kibaya nilivua nguo zote nkiwa na lengo la kuoga after), ndugu zangu majanga ikabidi ashike mdomo kwa mshtuko akabaki kusema "samahani jamani" akiwa anaondoka.

Siwezi kueleza yote ila toka asubuhi sikutoka ndani kwa aibu iliyonipata.
 
hilo hata si cha kuona aibu,kawaida sana
 
Kama hujaoa huyo ni wako kuanzia sasa.
 

na ww unajiita msom wa chuo kikuu?!
Hivi ktk masomo yako hujaona changamototo zozote ndan ya taifa hili?
Inatia aibu kwa degree holder kuandika vitu kama hivi.

Poor u!....
 
Hio inaitwa ajali kazini mkuu siku nyingine ukomee mlango vizuri!
 
na ww unajiita msom wa chuo kikuu?!
Hivi ktk masomo yako hujaona changamototo zozote ndan ya taifa hili?
Inatia aibu kwa degree holder kuandika vitu kama hivi.

Poor u!....
Mkuu msamehe bure wasomi kama ndio wanaoandamana wakikosa mikopo ambayo ni kodi zetu....kumbe huko vyuoni wanaenda kucheza tu.......



Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
mimi pia itabidi kuanzia leo nikuone aibu nahisi kama nimekuona mie :shocked:..........
 

maskini kaona ka kibamia kako??
 

Acha utoto, mvutie pumzi, halafu umuombe ile kitu namesa mwenzie, kwa vile ameshaiona atapenda mgegedo wako!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…