Aibu Tupu

Sasa anamaana gani kuiweka hapa kihivyo, huoni inauchochezi fulani ndugu yangu?

Ninakupata kabisa Next Level, na ndiyo maana hapo mwanzo nikakuuliza kuwa kwanini upandwe na mzuka iwapo dhamira yake kama ulivyo ainisha ndiyo hiyo?... Ndiyo maana huwa narudia rudia swali langu kuwa; iwapo unayetaka kubisha naye amekusudia kubisha mpaka mmoja wenu anaondoka/kufa, je ni busara kuendeleza mabishano naye? Hii haimaanishi kuwa najua lengo la thread hii, bali nataka kuelezea tu kuhusiana na pale tunapopandwa na mizuka ili kukabiliana na majaribu kutoka kwa wenzetu.
 
Hii imeka vibaya nikitendo kibaya sana lakini tuifunge kwani hainasababu ya kujadili kitu kilichoombewa radhi
 

Steve D, hii picha yako inanifurahisha sana hasa nikijaribu kulink na busara zako nachoka kabisa. Anyway good point. I know what you mean here.
 

Nimekusoma sasa vizuri kabisa mkuu Steve to the D! True waswahili walisema, ukibishana na ukuta utaumia mwenyewe!

Cheers
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…