Aibu Tupu....

Aibu Tupu....

fazaa

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2009
Posts
2,984
Reaction score
1,031
😛Yani baada ya kuchapwa 5-1 na mafirauni....sasa ivi washihiri wameichapa 2-1...Yani hao washihiri uko uarabuni ndo wanaonekana team iso na uwezo Je wakicheza na Oman au Saud...c watachapwa 6-o....😛😕
 
Maximo asirudi,apitie hukohuko kwenda kwao brazil.too much.
 
Back
Top Bottom