fazaa JF-Expert Member Joined May 20, 2009 Posts 2,984 Reaction score 1,031 Nov 11, 2009 #1 πYani baada ya kuchapwa 5-1 na mafirauni....sasa ivi washihiri wameichapa 2-1...Yani hao washihiri uko uarabuni ndo wanaonekana team iso na uwezo Je wakicheza na Oman au Saud...c watachapwa 6-o....ππ
πYani baada ya kuchapwa 5-1 na mafirauni....sasa ivi washihiri wameichapa 2-1...Yani hao washihiri uko uarabuni ndo wanaonekana team iso na uwezo Je wakicheza na Oman au Saud...c watachapwa 6-o....ππ
The Boss JF-Expert Member Joined Aug 18, 2009 Posts 49,282 Reaction score 117,244 Nov 11, 2009 #2 Kaka upoo?
M Mayolela JF-Expert Member Joined Sep 21, 2009 Posts 384 Reaction score 7 Nov 11, 2009 #3 Maximo asirudi,apitie hukohuko kwenda kwao brazil.too much.