DOKEZO Aibu UDSM kiajiri wahitimu isiwalipe

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'

gcmmedia

Member
Joined
Jul 19, 2024
Posts
34
Reaction score
75
Katika miaka ya hivi karibuni Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kimekuwa kikichukua wanafunzi wanaofanya vizuri kitaaluma wahitimu kubaki kusaidia shughuli za kitaaluma (TAs).

Cha kusikitisha vijana Hawa Chuo huwatekeza bila mikataba wala malipo. Kwa mfano, vijana wengi waliohitimu mwaka 2024 na kubakishwa kwa madhumuni hayo wanaendelea na kazi kwa miezi mitatu (3) sasa bila kupewa mikataba ya kazi wala kulipwa chochote.

Hivi, UDSM inafikiri wanaishije vijana Hawa? Mnawaingiza katika matatizo makubwa ya maisha na pia kutowalipa wala kuwapa mikataba ni ukiukwaji wa sheria ya Kazi na Mahusiano kazini.

UDSM Angalieni hili muwasaidie Hawa vijana
 
Miezi mitatu tu mnalia lia watu huku ni majobless since decades ago 😂😂
 
Kwanini usiseme ni wewe useme madogo mkuu be free funguka usaidiwe

Kingine kwanini usiwaulizw waliokubakiza hapo uendelee na kazi za chuo wana lengo gani na je kuhusu malipo yapoje?
Siyo mimi ndugu, Mimi ni GenX kabisa.
 
Mtalipwaaa na kugokewa week zijazòpp

Msemaji wao anaandaa press ya kukanusha.
 
Miezi mitatu tu mnalia lia watu huku ni majobless since decades ago 😂😂
Bora jobless unajua huna wa kumdai, ukiwa kazini halafu haulipwi tena na taasisi kama UD hiyo ni aibu ya mwaka, sio sahihi.
 
Katika miaka ya hivi karibuni Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kimekuwa kikichukua wanafunzi wanaofanya vizuri kitaaluma wahitimu kubaki kusaidia shughuli za kitaaluma (TAs).

Cha kusikitisha vijana Hawa Chuo huwatekeza bila mikataba wala malipo. Kwa mfano, vijana wengi waliohitimu mwaka 2024 na kubakishwa kwa madhumuni hayo wanaendelea na kazi kwa miezi mitatu (3) sasa bila kupewa mikataba ya kazi wala kulipwa chochote.

Hivi, UDSM inafikiri wanaishije vijana Hawa? Mnawaingiza katika matatizo makubwa ya maisha na pia kutowalipa wala kuwapa mikataba ni ukiukwaji wa sheria ya Kazi na Mahusiano kazini.

UDSM Angalieni hili muwasaidie Hawa vijana
Waambiie waje kitaa waone kulivyo kugumu. Watapalilia udsm
 
Bora jobless unajua huna wa kumdai, ukiwa kazini halafu haulipwi tena na taasisi kama UD hiyo ni aibu ya mwaka, sio sahihi.
Tatizo hamna mkataba hata wao wanaumiza kichwa mtalipwaje...vumilieni vibali vya kuajiri vikitoka mtakula shavu, maana ni scholarship after scholarship leo ulaya mwakani America halafu haya mnasahau mnaamza kututafunia vitoto vyetu vinavyotegemea boom.
 
Katika miaka ya hivi karibuni Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kimekuwa kikichukua wanafunzi wanaofanya vizuri kitaaluma wahitimu kubaki kusaidia shughuli za kitaaluma (TAs).

Cha kusikitisha vijana Hawa Chuo huwatekeza bila mikataba wala malipo. Kwa mfano, vijana wengi waliohitimu mwaka 2024 na kubakishwa kwa madhumuni hayo wanaendelea na kazi kwa miezi mitatu (3) sasa bila kupewa mikataba ya kazi wala kulipwa chochote.

Hivi, UDSM inafikiri wanaishije vijana Hawa? Mnawaingiza katika matatizo makubwa ya maisha na pia kutowalipa wala kuwapa mikataba ni ukiukwaji wa sheria ya Kazi na Mahusiano kazini.

UDSM Angalieni hili muwasaidie Hawa vijana
Polee sana kijana kwa changamoto unayopitia but miez 3 michache sana kuanza kulalamika kina wenzako wanajitolea uko ata mwaka hawapat chochote
 
Kwanini usiseme ni wewe useme madogo mkuu be free funguka usaidiwe

Kingine kwanini usiwaulizw waliokubakiza hapo uendelee na kazi za chuo wana lengo gani na je kuhusu malipo yapoje?
Au kama anajiamin na GPA yake ya 4.8 aende akapambane kitaa si ata mkataba hajapewa😂😂
 
Back
Top Bottom