Ni sawa kwamba wewe ndiye uliyeweka hiyo CD, kwakuwa hawakukukuta ukiangalia hapo unayo nafasi kubwa ya kujitetea kwamba hukujua kwamba hiyo CD ilikuwa ni ya porn, kikubwa zaidi iweje na wao waweke hadharani CD ya aina hiyo pamoja na CD zingine bila ilani???, ndiyo maana nasema na wao lazima wabebe nusu ya lawama, kama ulikuja nayo hiyo CD kutoka nje hapo utabeba lawama 100%.