Pre GE2025 Aibu vyama mamluki kugomea Maandamano wakati wapo CCM waungao mkono

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Chakaza

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2007
Posts
40,455
Reaction score
73,145
Hii ni aibu kuwa na viongozi wanajiita eti wa upinzani kisha wanawapinga wenzao wanao endesha harakati za maandamano ya kupinga hali ngumu ya maisha inayotokana na dira mbovu za serikali, kutaka katiba mpya na kupinga miswaada isiyo fuata mawazo ya wananchi wakati wapo Wanachama wa CCM ambao pamoja na kuwa huko wanaunga mkono ili kurekebisha mambo.
Hawa ni mzigo kwa taifa.

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Basi nyie bavicha na bawacha shirikianeni na hao Wana CCM wenu muandamane. Hii ni nchi ya huru na ya kidemokrasia. Tusipangiane.
 
Mkuu kwenye nchi yoyote kukishakuwa na chama kilichokaa muda mrefu madarakani kwa shuruti, lazima kitengeneze vyama vya mfukoni ili kuvuruga upinzani wa kweli. Uzuri wananchi Sasa hivi ni waelewa, wanajua kipi chama Cha upinzani, na wapi ni washenga wa siasa. Hivyo usiumize kichwa
 
Mafisadi uchwara hao, pitia mbeleko wa ccm,
 
Wote hao wanapata mgao na ma V8 ya ccm.

Vyama vya siasa halisi vinajulikana wala si lazima kuvitaja
 
Kwa maoni yangu kwanza inatakiwa wananchi wawe wapinzani wao binafsi bila kujali vyama. Nionayo mitaani ni kwamba asilimia kubwa yetu hatujali. Tunalalamika gharama za maisha kuwa juu na ufisadi lakini wakati huo huo tunasema anayepata nafasi ya kufisadi afanye hivyo kwa bidii.
 
Wameshanunuliwa hao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
manyumbu na mapanyarodi yanakataana na kenge 🐒
 
Watanzania wote tuseme "hatuwezi kuwa ngazi au punda kwa viongozi wa chadema wenye ubinafsi wa kutengeneza njia zao za vipato kupitia sisi punda"
""TUMECHOKA KUSWAGWA KAMA NGOMBE KWA MASLAHI YA WATU WASIOZIDI 6 WANAOTAKA KUTUSWAGA KWA MASLAHI YAO ""
 
Hao itoshe tu kuwaita mamluki wa ccm wakiwa na kaka yao ACT
 
Namchukia sana ZZK
 
Watanzania wote tuseme "hatuwezi kuwa ngazi au punda kwa viongozi wa chadema wenye ubinafsi wa kutengeneza njia zao za vipato kupitia sisi punda"
""TUMECHOKA KUSWAGWA KAMA NGOMBE KWA MASLAHI YA WATU WASIOZIDI 6 WANAOTAKA KUTUSWAGA KWA MASLAHI YAO ""
Hujaswagwa tayari ni Ng'ombe wa Lumumba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…