Wonderful JF-Expert Member Joined Apr 8, 2015 Posts 7,347 Reaction score 5,986 Jul 30, 2017 #1 Ni Paulo Bukabu kutoka Atletico Olympique ya Burundi. Taarifa zaidi zinakuja so usitoke hapo ulipo.....
Ni Paulo Bukabu kutoka Atletico Olympique ya Burundi. Taarifa zaidi zinakuja so usitoke hapo ulipo.....
Joseverest JF-Expert Member Joined Sep 25, 2013 Posts 52,812 Reaction score 71,392 Jul 30, 2017 #2 Hali tete sabasaba fc..wanatia huruma aisee 7G
Nanoli JF-Expert Member Joined Oct 15, 2015 Posts 3,735 Reaction score 5,974 Jul 30, 2017 #3 Nasubiri mkuu....
muhomakilo jr JF-Expert Member Joined Jul 28, 2013 Posts 15,301 Reaction score 13,858 Jul 30, 2017 #4 Yebo fc ni viumbe wa ajabu sana aisee.
Panya Mabaka JF-Expert Member Joined Apr 3, 2014 Posts 619 Reaction score 557 Jul 30, 2017 #5 tumewakosea nini tena wana 7G?
mpenda arage JF-Expert Member Joined Nov 10, 2015 Posts 1,677 Reaction score 3,806 Jul 30, 2017 #6 Afisa habari msaidizi wa Manara hiyo chee ndio shilingi ngapi?! Arage Jekundu.
OSOKONI JF-Expert Member Joined Oct 20, 2011 Posts 10,965 Reaction score 5,339 Jul 31, 2017 #7 Panya Mabaka said: tumewakosea nini tena wana 7G? Click to expand... Kushabikia uongo Kama huu ni ujuha hivo wewe ni juha Sent using Jamii Forums mobile app
Panya Mabaka said: tumewakosea nini tena wana 7G? Click to expand... Kushabikia uongo Kama huu ni ujuha hivo wewe ni juha Sent using Jamii Forums mobile app
demigod JF-Expert Member Joined Jan 2, 2015 Posts 8,292 Reaction score 15,250 Jul 31, 2017 #8 Jina nimeli gugo ..... Yaliyotokea Mungu mwenyewe ndio anajua..lol